Jumatano, 26 Safar 1447 | 2025/08/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kuhitimu kwa Maelfu ya Waliohifadhi Qur'an hakutabadilisha hali ya Umma wa Kiislamu isipokuwa wawe miongoni mwa wale wanaofanya kazi ya kusimamisha Khilafah

Katika miaka ya hivi karibuni, hamu ya Waislamu katika kuhifadhi Qur'an Tukufu imeongezeka sana, na kundi la watoto wakiume na mabinti watiifu wa Umma wa Kiislamu limejipanga kuanzisha jumuiya zaidi za Qur'an na kujishughulisha na kuwafundisha wanafunzi Tajweed ya Qur’an

Soma zaidi...

Musharraf atajibu kwa Uhaini wake katika Mahakama ya Mwenyezi Mungu (swt) Je, Watawala wa Sasa Watazingatia?

Mnamo tarehe 5 Februari 2023, baada ya kuugua kwa muda mrefu, Musharraf aliaga dunia katika hospitali ya kibinafsi jijini Dubai. Jenerali Pervez Musharraf alichukua mamlaka baada ya mapinduzi kwa serikali ya Nawaz Sharif mwaka wa 1999. Utawala wa Jenerali Musharraf unaweza kutajwa kuwa enzi mbaya zaidi ya kujisalimisha kwa Marekani.

Soma zaidi...

“...ipate kushinda dini zote.”

Katika hotuba ya Jaafar bin Abi Talib, Mwenyezi Mungu amuwie radhi, aliyoitoa mikononi mwa Najash: "كنّا قوما أهل جاهليّة نعبد الأصنام، ونأكل الميتة، ونأتي الفواحش، ونقطع الأرحام، ونسيء الجوار، يأكل القويّ منّا الضّعيف..."  “Sisi tulikuwa ni watu wa jahiliya tukiabudu masanamu, tukila mfu, tukifanya uasherati, tukikata kizazi, tukiwatendea uovu majirani, na mwenye nguvu akimdhulumu mnyong...”

Soma zaidi...

Kwa Wanajeshi Wenye Ikhlasi wa Mwenyezi Mungu (swt), Kutoka kwa Ummah wa Muhammad (saw)

Enyi maafisa wa Kiislamu wa majeshi ya Waislamu! Tunajua nyoyo zenu zinauma, mnapoiona nchi yenu ikiwa katika hali ya kukata tamaa kiuchumi, chini ya minyororo ya wakoloni wa IMF, huku raia wengi wakishuka chini ya mstari wa umaskini, wakishindwa kukidhi mahitaji ya chakula kwa familia zao.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu