Uislamu, Waislamu na Sayansi
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Moja ya shutuma wanayoitoa Wamagharibi dhidi ya Waislamu ni kuwa kwao nyuma katika maendeleo ya sayansi. Kinyume chake, Wamagharibi wanatoa, na wanaendelea kutoa, mchango mkubwa katika sayansi.