Muongo Mmoja Unakaribia: Mafunzo Kutoka Syria
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mapigano nchini Syria mwaka huu yatafikia muongo mmoja katika maadhimisho yake. Huku haya yakijiri, mwisho wa mchezo wa Syria sasa unakaribia wakati eneo la mwisho lililobakia – Idlib – likishuhudia vita vikali katika eneo la mwisho lililo nje ya mikono ya utawala wa Bashar al-Assad.