Talaka ni Halali Hata Kama ni Halali Inayo Chukiwa Zaidi
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuwa ni sheria kamili, imemsimamia mwanadamu na kumpatia njia za kumuwezesha kukidhi mahitaji yake ya kiviungo na kighariza pasina na kumsababishia majonzi yeye na wanadamu wengine.