Hizb ut Tahrir / Uholanzi Maandamano Mbele ya Ubalozi wa Uchina Kuwaunga mkono Ndugu zetu Wauighur
- Imepeperushwa katika Uholanzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uholanzi ilifanya maandamano mbele ya Ubalozi wa Uchina katika Mji wa Hague, mji wa kisiasa wa Uholanzi, ili kupinga uhalifu wa serikali ya Uchina na mshikamano wetu na Wauighur wa Mashariki ya Turkestan.