Indonesia Mamia ya Wanachuoni wametangaza kuunga mkono Khilafah
- Imepeperushwa katika Indonesia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Zaidi ya Wanachuoni Waislamu Masunni wamehudhuria Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (saw) katika Shule ya Kiislamu ya Bweni ya Al Muntaha Madura, Indonesia, Ruwaza Moja ya Kuendeleza Nidhamu ya Khilafah.