Hata Watoto Wetu Wadogo Hawapo Salama Chini ya Ubepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania imetoa takwimu mpya kuhusu ukatili kwa watoto nchini kuanzia Januari mpaka Septemba 2021.
Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania imetoa takwimu mpya kuhusu ukatili kwa watoto nchini kuanzia Januari mpaka Septemba 2021.
Serikali duniani kote zinashughulika hivi sasa kuweka mikakati ya kikatili ili kudhibiti kuenea kwa aina mpya ya Virusi vya Ugonjwa wa Korona vya 2019 kwa jina Omicron.
"Leo, tunatia saini mikataba miwili mipya inayoakisi ushirikiano wetu wa kina juu ya Afghanistan. Ya kwanza yanaiasisi Qatar kama dola ya ulinzi ya Marekani nchini Afghanistan," alisema Blinken.
Kwa uchache watu wanane waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati ghasia, haswa mapigano kati ya wafuasi wa wagombea, yalivuruga uchaguzi wa awamu ya tatu wa muungano wa parishad jana...
Wakenya walikopa kutoka kwa mfumo wa FULIZA wa Safaricom shilingi bilioni 1.32 kila siku hii ikiwa ni kati ya mwezi Aprili na Septemba mwaka huu jambo linaloonesha wazi hali ya wakenya kutegemea mikopo kwa matumizi yao ya nyumbani.
Mnamo tarehe 1/11/2021 Serikali ya Tanzania ilianza zoezi la kuwahamisha maeneo mengine wafanyabiashara ndogondogo nchini maarufu kama "wamachinga" kufuatia maagizo ya Raisi kwa wakuu wa mikoa na wasaidizi wao.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Amerika Antony Blinken ataizuru Kenya, Nigeria na Senegal kuanzia Novemba 15-20, akisisitiza umuhimu wa mahusiano yao na washirika wa barani Afrika. (The Star, 12/11/2021).
Gazeti la Khaleej Times nchini UAE liliripoti kwamba kuna ongezeko la kutia wasiwasi la watoto wanaokimbia nyumbani.
Waziri Mkuu Imran Khan mnamo Jumatano alihutubia taifa kutangaza kifurushi cha kupunguza hali ngumu ya umma ulioathiriwa na mfumko wa bei.
Pentagon hivi karibuni ilitangaza kwamba shambulizi la droni za Amerika jijini Kabul mnamo tarehe 29 Agosti na kuua raia 10 wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, lilikuwa kosa la kujutia lakini halikuwa utovu wa nidhamu wala ukiukaji wa sheria.