Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 60 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 60 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 60 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kuhusiana na muitiko wa dharura kwa mafuriko, Khilafah ingekataa mikopo inayoegemea riba, kuitisha mahitaji kutoka sehemu ambazo hazijaathirika za Ulimwengu wa Kiislamu, kutawataka wanajeshi wa Kiislamu kusaidia badala ya wanajeshi wa Marekani na kuzingatia kikamilifu maafa badala ya kupurukushwa na mivutano duni ya kuwania madaraka.
Maandamano yalianza baada ya Swala ya Ijumaa huko Deir Hassan dhidi ya kufungua vivuko pamoja na utawala wa kihalifu
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Soran viungani mwa Azaz
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Atarib viungani mwa Aleppo Magharibi
Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu zengine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo kwa Hijab na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.
Bilal Abdul-Kareem kutoka chaneli ya Habari ya ‘On the Ground News’ akimhoji Dkt. Nazreen Nawaz, Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, kuhusiana na jinsi Waislamu wanapaswa kujibu maandamano dhidi ya Hijab nchini Iran.
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 59 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
“Elizabeth Amekufa Huku Uhalifu wa Dola Yake Haujafa!”
Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Areha Yakitaka Mtoto Wake Ibrahim Hajj Ali Aachiliwe huru!!