Maandamano ya Pegida; Chombo Chengine tena Kinachotumiwa Kuhalalisha Chuki Dhidi ya Uislamu
- Imepeperushwa katika Uholanzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pegida (kundi la wazungu wazalendo dhidi ya kuenea kwa Uislamu Ulaya) lilitakiwa kuandamana mnamo Jumamosi, tarehe 22 Oktoba 2022, katika eneo la Stationsplein karibu na kituo cha Rotterdam Central ambapo walipanga kuteketeza Qur’an. Mnamo Jumapili, tarehe 23 Oktoba, waliandaa pia kuteketeza Qur’an.



