Alhamisi, 10 Muharram 1448 | 2026/06/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mwaka Umepita, na Mauaji ya Kikatili ya Halaiki mjini Gaza Yanazidi na Kuenea. Je, Sio Wakati sasa kwa Ummah Kuwaondoa Watawala wake Waoga Ambao Wameshindwa Kuinusuru?!

Umbile hili ovu sio tu ni kadhia ya kiusalama, kijeshi, au ya kisiasa. Inawezekana kulitokomeza na kuliondoa kwenye uso wa ardhi milele, kwa nguvu ya jeshi la Jordan pekee. Hii si ndoto au nadharia; wale wanaotilia shaka wanahitaji tu kuitazama Gaza, fahari, ambayo kwayo ilisimama kidete dhidi ya Mayahudi, ambao sura yao ilichanwa chanwa mbele ya ulimwengu, ikidhihirisha umbile lao halisi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo cha Usiku “Maamuzi ya Kijeshi Lazima Yaregeshwe na Mipaka Ifunguliwe”

Kalima iliyotolewa na Ustadh Mahrous Hazbar, Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria wakati wa kisimamo cha usiku kilichoandaliwa na Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Azaz kikitaka kuregeshwa kwa maamuzi ya kijeshi na kufunguliwa kwa mipaka.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Indonesia: Amali kubwa kwa Mnasaba wa Kupita Mwaka Mmoja wa Mauaji ya Halaiki mjini Gaza!

Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali kubwa katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta, na katika mji mkubwa wa pili nchini Indonesia wa Surabaya, ambapo maelfu ya Waislamu walikusanyika na kutaka kuhamasishwa kwa majeshi ya Waislamu ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu.

Soma zaidi...

Mamlaka ya Palestina Iliyofungamana na Maadui wa Mwenyezi Mungu Yakamilisha Dori ya Ghadhabu katika Kuwatesa Watu wa Palestina na Kuwakamata Watetezi wa Haki

Siku chache zilizopita, vikosi vya usalama vya Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) viliwakamata Sheikh Aws Abu Arqoub na Sheikh Muhammad Manasrah, wanachama wa Hizb ut Tahrir. Kwa kuwakamata wale wanaosema ukweli, PA na vikosi vyake vinasisitiza kuwa kiongozi wa Mayahudi, wakidunga visu watu wote wa Palestina.

Soma zaidi...

Tubas ni Shahidi wa Upendeleo wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina dhidi ya Maadui wa Palestina na Watu wake

Ni zaidi ya uhaini, kwamba Mamlaka ya Ndani ya Palestina inatangaza uadui wake kwa watu wa Palestina, kama inavyotokea kwa kuwasaka Mujahidina wa Tubas, kuwakamata na kuwapiga risasi, kuwatawanya watu huko kwa gesi ya machozi, kuwaua Mujahidina na kuwatia nguvuni kama wafanyavyo Mayahudi, sawa kwa sawa, na kutenda kwa niaba yake kwa kujaza pengo wakati inashughulika na uvamizi wake dhidi ya Gaza na Lebanon.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kongamano la Kimataifa “Mwaka Mmoja Umepita Enyi Majeshi!”

Mwaka mmoja umepita tangu Kimbunga cha Gaza, ambacho kimetikisa misingi ya hadhara ya Magharibi na kuponda ponda simulizi ya jeshi lisiloweza kushindwa. Mwaka mmoja wa uchinjaji na mauaji ya halaiki ya watu wa Gaza yametekelezwa na nchi za Magharibi zenye chuki na zingali zinaendelea kutekeleza kwa kulitumia umbile nyakuzi. Mwaka mzima wa kula njama na kufanya biashara ya umwagaji damu ambayo watawala wa Waislamu wamegeuka kuwa waovu, na kuwaongezea fedheha.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Kwa Khilafah, Majeshi yatasonga kuikomboa Palestina!”

Baada ya swala ya Ijumaa, matembezi ya hamsini na tatu yalifanyika katika mji mkuu, Tunis, mbele ya Msikiti wa Al-Fatah, matembezi makubwa yaliyoitishwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Tunisia, kwa watu wa Al-Khadra, na yenye kichwa “Kwa Khilafah, Majeshi yatasonga kuikomboa Palestina.”

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu