Hizb ut Tahrir/ Amerika: Kukataa Siasa za Kisekula na Kujihusisha na Jamii!
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Dkt. Abdur Rafay anauliza maswali muhimu yanayozunguka pambizoni mwa kampeni ya Joe Biden iliyotelekezwa.
Dkt. Abdur Rafay anauliza maswali muhimu yanayozunguka pambizoni mwa kampeni ya Joe Biden iliyotelekezwa.
Marekani ilitumia nguvu yake ya kura ya turufu mnamo Ijumaa wakati wa upigaji kura katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya azimio lililopendekezwa na Imarati likitaka kusitishwa mara moja kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza.
Hatupaswi kutumbukia ndani ya shimo moja mara mbili. Waislamu walio katika nchi za Magharibi ni lazima wafahamu siasa zile zile zilizofeli za karoti na kijiti ambazo inatukengeusha kutokana Suluhisho la Lazima kutoka kwa Uislamu.
Chini ya kauli mbiu (Enyi Umma wa Kiislamu, Nusra Nusra, Tusaidieni kabla Hatujamalizika), Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa Palestina iliandaa kisimamo kikubwa katika mji wa Al-Khalil mnamo Jumanne, 12 Disemba 2023 M, ambapo watu wa Palestina wanaume kwa wanawake, walielekeza wito wa haraka kwa Umma na majeshi yake na nguvu zake zilizo hai kutaharaki kwa haraka kunusuru Gaza na damu ya watoto wake, na kwa Palestina na watu wake na Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa.
Hizb ut Tahrir imekariri mara kwa mara kukataa tuhma za uongo za uanamgambo. Licha ya hayo, ndani ya wiki mbili, kwa mara ya pili, habari zilizotokana na vyombo vya usalama zilijitokeza kwenye vyombo vya habari vya uchapishaji na elektroniki, zikidai kwa uongo kwamba Hizb ut Tahrir amejiunga na vikosi vya mashirika ya wanamgambo.
Katika taarifa moja ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken mnamo tarehe 6/12/2023, kuhusu vita vya Sudan, ambapo alishutumu jeshi pamoja na Vikosi vya Msaada wa Haraka, alisema: "RSF na wanamgambo washirika wao wamewahangaisha wanawake na wasichana katika maeneo mbalimbali ya Sudan, kupitia unyanyasaji wa kingono, kuwashambulia majumbani mwao, kuwateka nyara kutoka mitaani, na kuwalenga wale waliojaribu kukimbilia usalama nje ya mpaka...”
Katika siku za usoni, muunganisho wa moja kwa moja wa mitandao ya mawasiliano ya Jamhuri ya Tajikistan na mitandao ya mawasiliano ya Jamhuri ya Watu wa China itatekelezwa, Khovar anaripoti hili kwa kuzingatia Huduma ya Mawasiliano chini ya Serikali ya Jamhuri ya Tajikistan.
Siku ya Kimataifa ya Wanawake Kuchukua Hatua kwa ajili ya Palestina iliandaliwa na Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari vya Hizb ut Tahrir kwa ushirikiano na Wanawake wa Hizb ut Tahrir ulimwenguni kuyata majeshi ya ardhi za Waislamu kutaharaki haraka ili kuwaokoa wanawake na watoto wa Gaza na kuikomboa Ardhi yote Iliyobarikiwa ya Palestina kutokana uvamizi wa mauaji wa Kizayuni.
Kuna vita vya kikatili vinavyofanywa dhidi ya Gaza na kukosekana uingiliaji kati wa majeshi ya Waislamu, haswa yale yanayoizunguka Palestina, licha ya mauaji yote yanayofanywa na umbile la Kiyahudi, mchana na usiku.
Ndugu yetu, Nigmonov Ayub Khan Ismailovich, mwanachama wa Hizb Ut Tahrir, aliuawa shahidi mnamo Jumamosi, Disemba 2, katika gereza Na. 64/46 katika mji wa Nawai.