Jumatano, 26 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/05/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Maandamano na Uwasilishaji Waraka wa Ukumbusho kwa Jeshi la Malaysia Kuinusuru Ardhi Iliyobarikiwa!!

Hizb ut Tahrir / Malaysia aliandaa maandamano na kuwasilisha waraka wa ukumbusho kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwenda kwa jeshi la Malaysia ukiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake, kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi “Enyi Majeshi ya Waislamu: وَلَنُخْرِجَنَّهُم مِّنْهَآ أَذِلَّةً وَهُمْ صَٰاغِرُونَ Na hakika tutawatoa humo na hali wao wamekuwa madhalili na wanyonge.” [An-Naml: 37]

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa“Enyi Majeshi ya Waislamu: Na hakika tutawatoa humo na hali wao wamekuwa madhalili na wanyonge” kwa ajili ya kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu wauwaji.

Soma zaidi...

Barua ya Wazi kutoka Hizb ut Tahrir Australia kwenda kwa Balozi za Waislamu nchini Australia

Tunakuhutubieni wakati ulimwengu unakusanyika dhidi ya kikundi kidogo cha watu ambao hawajapata wasaidizi wala walinzi, huku wavamizi wa Kiyahudi - waliowezeshwa na Magharibi - wakitawalisha ugaidi juu ya miji na vijiji, hospitali na shule, unyama ambao huyafanya hata mawe kulia kwa maumivu.

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon cha Andaa Semina ndani ya Wigo wa Amali ya Wanawake ya Kiulimwengu kwa ajili ya Palestina

Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir katika wilayah ya Lebanon, leo, Jumapili, kilifanya semina katika mji mkuu, Beirut, ndani ya wigo wa siku ya kufanya kazi ya wanawake ulimwenguni kwa ajili ya Palestina kuyalingania majeshi ya Waislamu kuwaokoa wanawake wa Gaza na watoto wake na kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), mbele ya uhudhuriaji wa wanawake.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu