Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 451
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mkutano Mkuu wa UMNO (United Malay National Organization) uliomalizika mnamo tarehe 11 Juni 2023, umeandika historia nyingine kuhusu hali ya kisiasa ya kidemokrasia ya nchi hiyo kwa uwepo wa viongozi wa chama cha Democratic Action Party (DAP) kwenye hafla hiyo.
Katika nia ya kuuridhisha Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF), serikali ya Pakistan imetangaza kuondoa mara moja vikwazo vya kuagiza bidhaa kutoka nje. Hata hivyo, jumuiya ya wafanyibiashara na wachambuzi wote wanaamini kuwa hatua hii pekee haitaleta mabadiliko makubwa katika shughuli za kibiashara za kiutendaji isipokuwa akiba ya fedha za kigeni itaimarishwa kwa kiasi kikubwa. (Tribune)
Rekodi ya watoto na vijana milioni 1.4 walitafuta usaidizi wa NHS kwa matatizo ya afya ya akili mwaka jana.
Ufichuzi huo ulizua wasiwasi kwamba msukosuko wa afya ya akili unaweza kuwa "kawaida mpya" kati ya walio na umri wa chini ya miaka 18.
Tangu jana usiku, umbile la Kiyahudi limefanya mashambulizi makubwa dhidi ya Jenin na kambi yake, kwa kutumia droni, vifaru vya kivita na magari makubwa ya kijeshi. Pia limetuma mamia ya wanajeshi hadi Jenin katika uadui wake unaoendelea hadi sasa
Baada ya mkutano kati ya Joe Biden na Narendra Modi mnamo tarehe 22 Juni 2023, taarifa ya pamoja ilitolewa na Marekani na India, ambayo imezua wasiwasi ndani ya jumuiya ya kimkakati ya Pakistan. Tangazo hili linathibitisha tena ushirikiano wa kina katika mahusiano ya Marekani na India.
Baada ya hisia kali za umma, Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif alitoa wito wa maandamano ya nchi nzima mnamo tarehe 7 Julai 2023 ili kutetea utakatifu wa Qur'an Tukufu, na kuandamana dhidi ya tukio la hivi majuzi la kudhalilishwa kwake nchini Uswidi.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kisimamo katika mji wa Ankara, baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Haji Bayram katika eneo la Ulus, cha kuwanusuru ndugu zetu Waislamu katika mji wa Jenin al-Qassam
Tunakuhutubieni kwa hotuba hii, tukimuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu azifungue nyoyo zenu kwa wema na hekima iliyokuja ndani yake, tukitumai kwamba mtaegemea upande wa Ummah wenu na kadhia zake, na muzieleze kadhia zake kwa njia ya inayotumikia umoja na mwamko wake na kupambana na maadui zake.
Kalima ya Ustadh Al-Qadir Yusuf Ahmad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Sweden