Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 432
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Katika kipindi cha siku mbili za maumivu, Waislamu arubaini na nne wakiwemo watoto wameuawa shahidi, huku zaidi ya mia tatu wakijeruhiwa, kutokana na mashambulizi ya kikatili ya wanajeshi wa Kiyahudi kwa Ukanda wa Gaza, Palestina, ambako hata hospitali haikusazwa.
Ilitangazwa jijini Khartoum kuzaliwa kwa muungano mpya wa kisiasa chini ya jina la Muungano wa Majeshi ya Mabadiliko Msingi, na kwamba haja yake kuu ni kukamilisha matakwa ya mapinduzi ya Disemba chini ya kauli mbiu "Kuelekea kwenye mabadiliko ya kitaifa na ya kimsingi yanayoongozwa na raia".
BP imeripoti faida yake kubwa zaidi ya robo mwaka kwa miaka 14 baada ya bei ya mafuta na gesi kupanda.
Mnamo tarehe 27 Julai 2022, Hadi Abuatelah mwenye umri wa miaka 17 alipigwa kikatili na maafisa watatu wa polisi wa Oak Lawn huko Illinois.
Majeshi ya Misri, Jordan, Hijaz na Uturuki yanawatazama Mayahudi wakiupiga mabomu Ukanda wa Gaza, lakini hawahamasiki, kana kwamba jambo hilo haliwahusu!
NRC Handelsblad ilichapisha makala mnamo tarehe 2 Agosti 2022 ambapo walifichua kwamba benki za Uholanzi zilizuia pasi na haki akaunti za benki za mashirika ya Kiislamu kwa miezi kadhaa.
Ni furaha kwetu sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa,
Baada ya kutumilizwa bwana wetu Muhammad, Mwenyezi Mungu rehema na amani zimshukie, je wale waliobakia katika dini ya Kiyahudi au Kikristo watahesabiwa miongoni mwa watu wa Peponi?
Bangladesh yakabiliwa na miaka mingine mitatu ya kukatwa kwa umeme huku taifa hilo linaloendelea likitatizika kupata mahitaji ya muda mrefu ya gesi asilia na bei yake iko nje ya soko la hapo kwa hapo.