Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 385
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka za Ukraine zilitoa picha na video zinazoonyesha maiti zikiwa zimelala kwenye barabara za mji wa Bucha karibu na Kyiv baada ya vikosi vya Urusi kuondoka eneo hilo.
Mauaji kwa Mauaji, na leo mauaji ya kutisha huko Maarat al-Nasan.
Maafisa nchini Bangladesh wanatishia kuwanyang'anya wakimbizi wa Rohingya hati zao za utambulisho na kuwahamisha kwa nguvu hadi katika kisiwa cha mbali ambacho hukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara, endapo watakiuka marufuku jumla kwa shule walizozianzisha, kulingana na shirika la Human Rights Watch.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utulivu zaidi wa kisiasa barani Afrika. Tanzania inacheza dori katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Shina la matatizo yetu sio ni nani anayetutawala, bali ni kipi anachotutawala nacho. Maadamu Pakistan inatawaliwa na sheria zilizotungwa na mwanadamu chini ya Demokrasia, badala ya Shariah iliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt) chini ya Khilafah, kamwe hatutaona mabadiliko ya kweli.
Vita katika Ukraine vimeiweka Magharibi katika mapambano dhidi ya adui wake wa muda mrefu – Urusi.
Vita vinaenda vibaya kwa Putin. Rais wa Urusi amejenga uongozi wake juu ya wazo la ukubwa wa Urusi ilhali udhaifu wa kibinafsi unamlazimisha kujaribu kuuthibitisha kwa kila fursa.
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inamuomboleza mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir, mbebaji Dawah kutoka kizazi cha kwanza katika safu zake, mtu mwema kutoka mji wa Al-Khalil. Marhum kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt):
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaendesha kampeni ya mitandao ya kijamii katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.