Jumatano, 26 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/05/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Halaqa ya Mjadala Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Ankara.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Halaqa ya Mjadala Mjini Aydin Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi

Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", Hizb kilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Aydin.

Soma zaidi...

Kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP Kunabainisha kuwa Vyama vyote vya Kidemokrasia Vinalinda Maslahi ya Wakoloni.

Iwe ni kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP, bajeti ndogo iliyoagizwa na IMF, sheria inayoendeshwa na FATF au sheria inayotoa haki ya kukata rufaa kwa Kulbhushan Jadhav, sasa ni wazi kwamba uongozi wote wa kidemokrasia, iwe katika kutawala au katika upinzani, wako kwenye ukurasa mmoja kuhusiana na kutimiza matakwa ya ukoloni wa kimataifa.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Halaqa ya Mjadala mjini Kahraman Marsh Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa kiuchumi

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa halaqa ya mjadala katika mji wa Kahraman Marsh kama sehemu ya kampeni yake kwa anwani "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", ambayo inawasilisha masuluhisho msingi ya Kiislamu kwa mgogoro wa sasa wa kiuchumi nchini Uturuki, kwa kuwasiliana na mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyama na vyombo vya habari vya ndani na kujibu maswali yao.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu