Akiwa Amevalia Vazi la Fedheha na Aibu, kwa Amri Kutoka Amerika, Al-Burhan Anatafuta Kusawazisha Mambo na Umbile la Kiyahudi
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mujibu wa gazeti la Al-Saiha lililochapishwa mnamo 04/02/2020, chanzo kimoja cha serikali kilizingatia kuwa maandalizi ya mkutano ni mojawapo ya ajenda muhimu zilizokuwa zikizungumziwa kupitia maongezi ya simu kati ya Al-Burhan na Waziri wa Kigeni wa Amerika Mike Pompeo jana!!



