Kenya Kusafirisha Mafuta: Faida kwa Kampuni za Kikoloni na Majonzi kwa Raia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais Uhuru Kenyatta mnamo Jumatatu asubuhi, alizindua rasmi usafirishaji wa mapipa 200,000 ya kwanza kutoka Kenya.