Khilafah: Utajiri Wenye Uwezo
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mwezi wa Rajab 2020 Miladia, itakuwa ni kumbukumbu ya miaka 99 Hijria tokea kuangushwa kwa Khilafah.
Katika mwezi wa Rajab 2020 Miladia, itakuwa ni kumbukumbu ya miaka 99 Hijria tokea kuangushwa kwa Khilafah.
Mufti wa Tatarstan Kamil Samigullin ameeleza kuwa hakutoa kauli zozote dhidi ya marekebisho ya Katiba ya Urusi yaliyo jumuisha fahamu ya “watu wenye kuunda Serikali”, ila alionyesha tu shaka kuhusu maneno yake, Idara ya Usimamizi wa Masuala ya Kiroho ya Waislamu wa Tatarstan (SAM) imeripoti.
Katika kumbukumbu ya 99 ya kuvunjwa kwa Khilafah huko Istanbul, ni juu yetu kumkumbuka mmoja wa masahaba wakubwa wa Mtume (saw), Abu Ayyub Al-Ansari, alikuwa ni miongoni mwa watiaji hamasa wakubwa kwa jeshi la Sultan Fatih kuhakikisha kufikiwa bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika kuiteka Konstantinopoli (ambayo baadaye ikawa Istanbul).
Ufahamu wa jambo msingi katika Uislamu la Jihadi umetatanishwa kwa makusudi. Mataifa ya kikoloni na viongozi wao vibaraka wamekuwa mstari wa mbele katika njama hizi.
Katika mwezi huu wa Rajab, 1441, itatimia miaka 99 tokea kuvunjwa kwa Khilafah kupitia ushirikiano wa wasaliti miongoni mwa Waarabu na Waturuki pamoja na maadui wakoloni. Katika Ulimwengu wote wa Waislamu, kukosekana kwa utekelezaji wa hukmu zote za Mwenyezi Mungu kunahisiwa, kunakotupelekea kukata tamaa.
Uwajibu wa Jihad utabakia ima Serikali ya Khilafah ipo ama la. Kwa muda, Wamagharibi wamejaribu kupandikiza mkanganyiko katika jambo hili kwa sababu wana hofu juu ya hisia za uungaji mkono Jihad walizonazo Waislamu.
Hadith imemuweka katika nafasi ya juu na ya heshima mbele ya Mwenyezi Mungu (swt) akhera yule anayemtegemea Mwenyezi Mungu pekee.
Nchi nyingi za kidemokrasia zinaruhusu kutafuta ushawishi wa kitaasisi ambapo watu binafsi matajiri na mashirika yanafadhili kifedha wagombea wa uchaguzi kwa tegemeo lisiloelezwa na kutarajia upendeleo.
Mnamo 5 Februari 2020, ndani ya Kazan katika kikao cha mahakama inayotembea, Mahakama ya Kijeshi ya Wilayah ya Volga imewahukumu Waislamu kumi kwa kushiriki katika harakati za Hizb ut Tahrir.
Mapigano nchini Syria mwaka huu yatafikia muongo mmoja katika maadhimisho yake. Huku haya yakijiri, mwisho wa mchezo wa Syria sasa unakaribia wakati eneo la mwisho lililobakia – Idlib – likishuhudia vita vikali katika eneo la mwisho lililo nje ya mikono ya utawala wa Bashar al-Assad.