Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 459
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo siku ya Jumatano, maandamano maarufu yalianza kwa siku ya pili mfululizo katika Jimbo la Aden. Waandamanaji walifunga barabara katika vitongoji vya Mansoura na Sheikh Othman. Maandamano hayo yalijumuisha majimbo jirani ya Lahj na Abyan, juu ya hali mbaya ya maisha na kuongezeka kwa bei za juu, pamoja na kukosekana kwa huduma msingi kama vile umeme, maji, na huduma za afya, ambazo zimeyasibu Majimbo hayo kusini mwa Yemen kwa miaka mingi.
Mamlaka ya kisiasa imetoweka, nguvu yake imefifia, na, pamoja na wabunge wake, walipuuza hata vifungu vya katiba walivyovipitisha, ambavyo vinakemea waziwazi na uchafu na ufuska. Waliwaacha watu kwenye hatima yao mbaya, hata katika kupata huduma msingi kama maji na umeme.
Mahakama moja ya Saudia imemhukumu mwalimu mmoja mstaafu kifo kwa kukosoa familia hiyo tawala katika ujumbe kwa wafuasi wake tisa wa mitandao ya kijamii.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Septemba 2023 M.
Hadi leo, Quran bado inachomwa moto mara kwa mara katika mitaa ya Uswidi. Serikali yatangaza kwamba vitisho dhidi ya Uswidi vimeongezeka, na polisi wa usalama wamepandisha kiwango cha vitisho vya ugaidi kutoka 3 hadi 4.
Tokea wakati wa majanga ya vita vya Iraq na Afghanistan na kuibuka kwa China, wengi walizingatia kuwa kipindi cha kuwepo dola kuu moja pekee kina malizika. Wengi wanazingatia nguvu ya Marekani kidunia inaporomoka na kutaja hili kuwa ni dalili muhimu ya kumalizika kwa dunia yenye dola kuu moja.
Hizb ut Tahrir / Amerika yaomboleza mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir; Profesa Dkt. Taha Khalil Aldoss (Abu Osama) aliyefariki mnamo Jumapili, Agosti 20, 2023, akiwa na umri wa miaka 72.
Shirika la Habari la Reuters liliripoti, “JOHANNESBURG, Agosti 24 (Reuters) - Wakati mwanauchumi wa Uingereza alipounda neno fupi la BRIC miongo miwili iliyopita ili kuashiria Brazil, Urusi, India na China, hakuwa akilini mwake na muungano ambao ungejaribu kupinga utawala wa Magharibi katika masuala ya kilimwengu...